.

Jumanne, 30 Agosti 2016

Mchekeshaji Gene Wilder amefariki dunia

Mcheza filamu za vichekesho nchini Marekani, Gene Wilder amefariki dunia akiwa na miaka 83.
Wilder amekua akiugua ugonjwa kwa kukosa fahamu{ Alzheimers}.
Aliwahi kucheza filamu maarufu ya , ''Willy Wonka-The Chocolate Factory''.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni