Mtu wangu alhamisi ya July 21 2016 naomba nikuletee TBT Pichaz za mastaa wa soka ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika soka kwa muda mrefu, ila leo naomba nikusogezee TBT picha za Carlos Tevez wa Boca Juniors, Theo Walcott, Jack Wilshere wa Arsenal, Lionel Messi wa FC Barcelona, staa wa zamani waChelsea Frank Lampard na staa wa zamani wa Man United David Beckham.

Lionel Messi

Theo Walcott

David Beckham

Carlos Tevez

Jack Wilshere

Frank Lampard

Frank Lampard
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni