Sayansi na teknolojia inazidi kukua kwa kasi na katika pitapita zangu leo June 21 2016 nikakutana stori ya boti za solar . Boti hizi kutumia umeme wa mionzi ya Jua (Solar Power) katika nchi mbalimbali duniani ikiwemoMarekani,Ufaransa, Australia, Ujerumani, India na Uswiss.
Nakusogezea picha za boti hizi ili na wewe ujionee pia usisahau kuniachia comment yako hapo chini.
Nakusogezea picha za boti hizi ili na wewe ujionee pia usisahau kuniachia comment yako hapo chini.
1. Boti hii inayotumika Uswiss
2. Boti hizi zinatumika Australia
3. Boti hizi zinatumika Marekani
4. Boti hii inayotumika India
5. Boti hii iliotengenezwa na wajerumani na planet solar company ni boti kubwa Duniani yenye uwezo mkubwa wa solar power na sehemu ya juu imefunikwa na vipande vya solar.
6. Boti hizi zinatumika kama boti za mashindano Ufaransa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni