.

Jumatatu, 20 Juni 2016

Wadukuzi wame hacke Instagram account ya Joh Makini nakuipa jina hili


Mchezo wa ku-hacke account za wasanii na watu maarufu umerejea tena kwa kishindo kwakipindi hiki baada ya siku chache tu kupita kusikia kuwa account ya mwanamuziki Linah Sanga imedukuliwa na sasa ni account ya Joh Makini.

Account ya Joh Makini ya Instagram wameidukua nakubadilisha jina ambalo lilikuwepo nakuipa jina la Mzimu wa Baba na kwasasa wameipa jina la Tatizo Umsikinitz.

HIVI NDIVYO ACCOUNT YA INSTA YA JOHMAKINI ILIVYO BADILISHWA NA KUWA HIVI SASA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni