.

Jumatano, 11 Mei 2016

PICHA 16: Kuwait wametisha, wamenogesha kwa kuivuta bahari nchi kavu ili kutengeneza mji mpya

Mwaka 1986 Khalid Yousef Al Marzouq alikuwa na wazo la kujenga mji katika jangwa, Al Marzouq alikufa lakini mwanae Fawaz ameifuata ndoto ya baba yake ambayo imezaa matunda na ujenzi huo ulianza 2003 baada ya kuchelewa kutokana na vita ya ghuba.

Eneo hilo ambalo liko mpakani mwa Kuwait na Saudi Arabia halikuonekana kama ni eneo sahihi la kutengeneza mji mpya lakini Mji huo wa ajabu umejengwa kwenye jangwa kwa kuivuta bahari nchi kavu kwa mfumo unaoitwa ingenious system of tidal gates, mfumo ambao umeileta bahari mile 6 nchi kavu. Mji huo unaweza kuchukua nyumba 250,000.
33CC10FE00000578-3550045-A_unique_system_of_tidal_gates_have_been_used_to_convert_the_two-a-91_146289596413533CC13ED00000578-3550045-The_new_city_pictured_is_only_a_few_miles_from_the_border_with_S-a-88_146289596413233CC14BD00000578-3550045-Few_yachtsmen_would_currently_consider_passing_through_the_Strai-a-97_1462895964143
DCIM100MEDIADJI_0170.JPG
DCIM100MEDIADJI_0232.JPG
33CC15D200000578-3550045-The_new_sea_city_is_a_vast_engineering_undertaking_which_has_cos-a-84_146289596412733CC15E200000578-3550045-The_entire_area_was_formerly_a_non_descript_salt_marsh_and_it_to-a-89_146289596413333CC15F600000578-3550045-This_satellite_image_shows_how_a_network_of_inlets_which_will_be-a-83_1462895964124
33CC18BE00000578-3550045-The_city_is_being_named_after_Sheikh_Sabah_Al_Ahmad_right_the_86-a-98_1462896063315
Fawaz Khalid Al Marzouq (kushoto) ambaye ameitimiza ndoto ya baba yake na kulia ni Kiongozi wa Kuwait Sheikh Sabah Al Ahmad  ambaye mji huo umepewa jina lake.  

33CC17FF00000578-3550045-Development_will_take_place_in_10_phases_and_over_25_years_so_do-a-94_146289596413933CC18B400000578-3550045-The_area_has_been_carved_out_of_the_desert_Temperatures_during_t-a-96_146289596414233CC157F00000578-3550045-Billions_of_dollars_have_been_invested_into_the_project_but_it_i-a-92_146289596413633CC148900000578-3550045-A_key_element_of_the_project_is_a_yachting_marina_and_retail_cen-a-85_146289596412833CC174800000578-3550045-Wish_you_were_here_A_picture_postcard_from_Sheikh_Sabah_Al_Ahmad-a-95_1462895964141

DCIM100MEDIADJI_0013.JPG
340997F400000578-3550045-image-a-117_1462963343766

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni