.

Jumatano, 11 Mei 2016

FID Q ATAMBULISHWA ULAYA



Kila binadamu hufurahi pale anapotimiza malengo yake, hata kama yasipotimia yote kwa ujumla ila kukiwa na dalili ya kutimia huwa ni faraja kwake, kwenye tasnia ya muziki wa Tanzania wasanii hufurahi kuona kazi zao zinafanya vizuri ndani na nje ya nchi.

Rapa Fid Q ambaye anatamba na ngoma yake ya Walk It Off anafurahia matunda hayo baada ya tour yake ya Ulaya hususani katika nchi za Sweden, Norway, Denmark na Ujerumani, huku akieleza kuwa ngoma hiyo ya Walk It Off imetokea kupendwa na Dj wa Club za nchi hizo kutokana na ubora wake.


Licha ya kupigwa kwa nyimbo hiyo katika Club hizo kuna baadhi ya changamoto ambazo amezielezea Fid Q

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni