.

Jumanne, 24 Mei 2016

Daniel Craig atangaza rasmi kuachana na filamu za James Bond

Muigizaji maarufu Daniel Craig ametangaza kuacha kuigiza filamu zilizompa umaarufu zaidi za ‘Jmaes Bond’

Mtandao wa The Source umeripoti kuwa Craig ambaye ameigiza kama James Bond kwenye filamu kama Casino Royale, Quantum of Solace, Skyfall and Spectre hatocheza tena uhusika huo, mtandao huo umesema kwenye moja ya interview zake za hivi karibuni alisema hawezi kuigiza tena kama James Bond.
Kuna tetesi muigizaji nyota wa filamu kwasasa, Idris Elba anachukua nafasi ya Daniel Craig kama James Bond.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni