Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspur, Harry Kane amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Katie Goodland ambaye wana mtoto mmoja Ivy Jane.
Kane na Katie Goodland wamekuwa marafiki toka utotoni na jambo hili kubwa limetokea kwenye visiwa vya Nassau huko Bahamas.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni