Mengi yakiwa yanaongelewa kuhusu ndoa yake kwamba inaenda kufikia tamati, T.I aamua kushusha ujumbe kwa mashabiki kwamba wafunge midomo yao kwa sasa.
Baada ya mashabiki wengi kwenye mitandaoni kumchana T.I kwamba ameshindwa kumtunza Tiny vilivyo, TI akaona sio kesi kama akiwachana haters wote ambao wanashindwa kufuata mambo yao na kumdondokea yeye kwenye page zake huku wakimshushia matusi, Kupitia kurasa yake ya Instagram TI aliamua kusema kwamba “If I didn’t need your blessings to get married…. if I didn’t ask YOU what I should do then…. What makes you think I need your advice now? Just sit back & watch the show in silence. Put ya phone on vibrate & extra butter on ya popcorn
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka HabNews Tv
Bonyeza HAPA kupakua application yetu na upate habari punde zitufikiapo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni