March 31 2017 kupitia kipindi cha The weekend chat show Msanii wa Bongo flevaLinah Sanga amekiri alishawahi kutoa mimba takribani mbili kabla ya hii aliyonayo sasa hivi na anategemea kujifungua hivi karibu.
Linah amesema anajutia hilo na sababu iliyompelekea kutoa mimba hizo ni kwa sababu alikuwa anamuhofia baba yake kwakuwa hakuwa ameolewa na kudai baba yake alisha watahadharisha juu ya kubeba mimba wakiwa nje ya ndoa wajitenge wenyewe kwenye familia yao.
Mtangazaji Soudy Brown alimuuliza Linahkama alishawai kutoa Mimba na majibu yake yalikuwa haya..>>>“Yah nisiwe muongo nilishawahi kutoa mimba kipindi cha nyuma, nilikuwa naogopa kwasababu Baba yangu alikataa mtu kubeba mimba nje ya ndoa”
“Mimba nimezitoa, siyo mara nyingi ila naweza kusema kama mara mbilii”:-

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka HabNews Tv
Pia unaweza uka download application yetu kutoka Google Play Store ila upate habari punde zitufikiapo kwa kubonyeza HAPA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni