Baada ya kuvunja rekodi ya box office duniani kwa filamu ya ‘The Fate of the Furious 8’, Muigizaji wa filamu hiyo Tyrese ameweka wazi ujio wa filamu yao inayofuata, Fast 9.

Filamu hiyo ya Fast 9 inatarajiwa kutoka ifikapo mwaka 2019.
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka HabNews Tv
Bonyeza HAPA kupakua application yetu na upate habari punde zitufikiapo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni