.

Ijumaa, 24 Machi 2017

KENDRICK LAMAR AILETA INSTAGRAM YAKE KIVINGINE



Kwahiki ambacho
 Kendrick Lamar amekifanya kwenye kurasa yake ya Instagram ya kufuta posti zake zote na kuacha moja tu yenye namba ya kirumi  “IV.” mashabiki tumeanza kuisoma kama ni ujio wa Album mpya ndani ya mwaka huu wa 2017.


Licha ya kuwa na reference ya Album zilizopita kama  Section.80good kid, m.A.A.d city na To Pimp A Butterfly kuna asilimia kubwa ya kuilink namba nne hiyo ya kirumi kama ni ujio mpya wa album ya Kendrick Lamar, Sasa Bad Newz ni kwamba Kendrick Lamar ameamua kuachia series yake ya “The Heart”, baada ya kuachia “The Heart part 3” this tme ameiachia “The Heart part 4” ambayo imetajwa kama ngoma inayomdiss Big Sean.
Hakuna ushahidi kamili juu ya ngoma hiyo ila ndani ya ngoma hio na mistari ambayo inayozungumzwa inaonyesha kabisa ni kwenda kwa mnyamwezi Big Sean, “My fans can’t wait for me to son your punk ass and crush your whole lil shit/I’ll Big Pun your punk ass you a scared lil bitch/Tip-toeing around my name nigga you lame/When I get at you homie don’t just tell me you was just playin’/’I was just playing K.Dot c’mon you know a nigga rock with you bro’/Shut the fuck up you sound like the last nigga I know/Might end up like the last nigga I know/Oh you don’t want to clash? Yeah nigga I know” Kendrick raps.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni