.

Alhamisi, 5 Januari 2017

Wolper na Harmonize sasa basi



Mwaka 2017 ndio mwisho wa mapenzi ya Wolperna Harmonize.
Wolper ameamua kuwashangaza mashabiki zake kwenye kurasa yake Instagram kwa kuposti picha ya Harmonize huku akiweka caption ya kwamba  Nina akili timamu me syo mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate love.”


Posti hiyo ambayo ilifutwa baada ya muda mfupi imewashangaza mashabiki na kuwawekea maswali, kuwa ni ujio mpya wa ngoma ya Harmonize au,? ni kweli mwaka huu wa 2017 umeanza na doa kwenye penzi lao?.
Niachie Comment yako niambie hiyo inaweza kuwa ni nini?

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Google Play Store na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka HabNews Tv  


Related

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni