.

Jumatatu, 12 Desemba 2016

Wolper na Harmonize mapenzi moto moto


Hivi karibuni kumekua na story kibao kwenye mitandao ya kijamii kuhusu couple ya wolper naharmonize.
Kama ilivyokua mwanzo,ilikua sio ajabu kuonawolper kampost harmonize au hermonize kampostwolper,utaratibu huu ulidumu kwa muda lakini gafla siku za hivi karibuni ikawa kimya.
Mashabiki walianza kuhisi huenda mastar hawa wameachana au wanamgogoro wa kimapenzi.
Wolper kaanza na kasi ile ile kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kupost picha za harmonize mbili mfululizo huku ikionyesha wazi bado wako mapenzini kutokana na caption zinavyosomeka

Download application yetu HAPA

Subscribe katika YouTube channel yetu HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni