.

Jumatano, 21 Desemba 2016

Shishi Trump adai kuingiza laki tano kwa cku kwa kupika msosi



Msanii wa Bongo Fleva Shilole ambaye ameingia pia kwenye biashara ya chakula, amefunguka faida anayoingia kila siku kupitia biashara yake hiyo mpya.
shiiitrump
“Mimi hata kama waniite mama ntilie ila najua mwisho wa siku naingiza mkwanja wangu sipungukiwi kitu nauza chakula na jioni naingiza laki tano wewe endelea tu kupiga majungu mimi napiga kazi“ Shishi alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio.
Jana mrembo huyo alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 28.

Download application yetu kwa kubonyeza HAPA

Subscribe katika YouTube channel yetu kwa kubonyeza HAPAA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni