.

Jumatano, 28 Desemba 2016

Jennifer Lopez nq Drake mapenzi moto moto

Drake na Jennifer Lopez wamelijibu swali la mashabiki wengi wa muziki duniani waliokuwa wakijiuliza iwapo tetesi za kuwa wawili hao kwa sasa ni wapenzi ni za kweli.
Wote kwa pamoja, Jumatano hii wamepost picha hiyo juu kwenye akaunti za Instagram bila kuandika chochote.
Tetesi za wawili kuwa na uhusiano zilianza kuvuma baada ya hivi karibuni Drake kuonekana kwenye show mbili za J.Lo jijini Las Vegas na kupiga picha zenye ukaribu zaidi. Rihanna amedaiwa kum-unfollow Jennifer kwenye Instagram.

Bonyeza HAPA ku download application yetu
Bonyeza HAPA ku subscribe katika YouTube channel yetu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni