.

Jumatano, 2 Novemba 2016

Mariah Carey ana msongo wa mawazo baada ya kuachwa pia adai fidia


Pop staa Mariah Carey ametajwa kuwa na msongo wa mawazo baada ya kuachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa akimpa maisha mazuri kupitiliza.
Ripoti hii pia inasema Mariah anataka kulipwa dola milioni 50 za Marekani kwa kupotezewa muda na James pamoja na gharama alizoingia kubadilisha maisha yake na anapoishi ili kukaa karibu na James Packer.
Mariah alibidi ahame kutoka New York na kuja L.A ili kuwa karibu na James na watoto wake.
Pia Mariah anasema James alimdhalilisha vibaya msaidizi wake

Bonyeza HAPA kudownload application yetu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni