.

Ijumaa, 11 Novemba 2016

List ya Mastaa waliosema wataondoka Marekani kama Trump atashinda Urais

ne-yo
Ahadi nyingi zilitolewa wakati wa kampeni za uchaguzi wa Marekani ambapo sio tu kutoka kwa Wagombea bali hata mastaa wakubwa waliokuwa upande Hillary Clinton, wengi waliahidi kuondoka Marekani na kuhamia mataifa mengine iwapo Donald Trump atashinda.
Tayari matokeo yametangazwa jana November 9, 2016 na kuonyesha kuwa Donald Trump ndiye mshindi na Rais mteule wa Marekani ambaye ataapishwa kuwa Rais kamili wa taifa hilo January 20, 2017.
Mastaa watano walioandika watahama nchi ni hawa hapa kwenye hii orodha akiwemo mwimbaji Miley Cyrus yeye alisema “I am moving if he is president. I don’t say things I don’t mean!” ‘Nitaondoka kama Trump atakuwa Rais, huwa siongei vitu ambavyo simaanishi.’ 
mileyMiley Cyrus
ne-yoMwimbaji staa wa RnB Ne-Yo alisema, “Like so many others, plans to bug out to nearby Canada” Kama wengine wengi, nina mpango wa kuhamia karibu na Canada
samuuMwigizaji Samuel Jackson alisema “If that motherf***er becomes president, I’m moving my black a** to South Africa, Kama Trump atashinda uraisi nitahamia Afrika Kusini
amyMwigizaji mchekeshaji Amy Schumeralisema “I will need to learn to speak Spanish, because I will move to Spain or somewhere.” Itabidi tu nijifunze kuongea kihispania kwa sababu nitahamia Hispania ama sehemu nyingine.


lemmiMwigizaji Lena Dunham alisema “I know a lot of people have been threatening to do this, but I really will. I know a lovely place in Vancouver.” ‘najua watu wengi wametishia kufanya hivi lakini mimi nitafanya kweli, naifahamu sehemu moja nzuri huko Vancouver (CANADA)’

Rapper mkongwe Snoop Dogg nae aliweka wazi utayari wake wa kuhamia CANADARapper mkongwe Snoop Dogg nae aliweka wazi utayari wake wa kuhamia CANADA na hata alipost picha ya mnara wa Canada kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini alivyomtag Drake ambae ni mzaliwa wa Canada.
screen-shot-2016-11-11-at-1-02-35-am
Baada ya mastaa hao kuyaongea hayo, raia wa Marekani wanasubiri kuwaona watafanya kweli baada ya Trump kuchaguliwa kuwa raisi wa 45 wa Marekani.

Download application yetu HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni