.

Jumatatu, 10 Oktoba 2016

Sony yaweza kushtakiwa na Dr Dre


Dr Dre ameamua kuwa mkali kwenye filamu ya Surviving Compton na kuitaka kampuni ya Sony kubadilisha uhusika wake kwani yeye hakuwa hivyo katika hiyo filamu inayotarajiwa kuachiwa.
Baada ya Straight Outta Compton kutoka kumekuwa na mengi kwamba kuna vitu vingine vimefichwa katika maisha ya wasanii hao, Sasa Kampuni ya Sony inataka kuachia filamu ya Surviving Compton ambayo inaelezea maisha ya mahusiano ya Dre na mwanadada Michel’le, ndani ya movie hiyo Dr Dre anaonekana kama mwanaume mnyanyasaji kwa mpenzi wake na ndani ya movie hiyo Dre ameonekana akimvuta mpenzi wake nywele kwa hasirakumkaba koo mpenzi wake na kumshikia silaha

Bonyeza hapa kupakua application yetu playstore

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni