Rihanna amefunguka mazito kwa Ma ex wake.
Msanii wa miondoko ya RnB, Rihanna ameamua kufunguka ujumbe mzito kwa ma ex wake ambao amewahi kutembea nao, kupitia kurasa yake ya Instagram Rihanna ameandika kwamba Hakuna hata moja ya maex wake ambao wameoa au kufurahia mahusiano yao, ukicheki huu ujumbe unaonekana ni Direct diss Kwa mnyamwezi Breezy maana since watemane Breezy hajawahi kuwa na Mahusiano ya uhakika.
Bonyeza hapa chini kudownload application yetu playstore na upate habari punde zinapotufikia
Bonyeza hapa chini kudownload application yetu playstore na upate habari punde zinapotufikia
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni