.

Jumanne, 11 Oktoba 2016

Meneja wa Alikiba afunguka kuhusu show ya Kiba Mombasa

Mombasa Rock Festival lilikuwa na wasanii wengi wa ku-perform kutoka ndani na nje ya Kenya. Kutoka Bongo tuliwakilishwa na King Kiba pamoja na Vee Money.
Lakini kuna video zinasambaa zikionesha kuwa wakati anaperform Kwenye tamasha hilo, Kiba alipanda juu ya speaker, alitumbuiza nyimbo mbili tu kabla ya mic aliyokuwa anaitumia kuonekana kupata mushkeli/kuzimwa na kumlazimu kuondoka jukwaani na kupandishwa Chris Brown.
Swali.. Je kupanda juu ya speaker ndio kulisababisha waandaaji wamshushe Kiba au?

Kupitia perfect255 meneja wa alikiba alipiga story Aidan Charlie nakufunguka haya.
“Hapana kwanza Ilo la kupanda juu ya speaker haikuwa sababu, kwa sababu Wizkid nilimuona pia alipanda na hakushushwa.” aliendelea Aidan
“Issue kubwa iliyokuepo nitime, show ilitakiwa ianze saa 8 mchana na kumalizika usiku kama saa 6 lakini kutokana na wenyewe maorganizer walivyojiorganize mambo haya kwenda kama yalivyopangwa, kwa hiyo baada ya kuanza show saa 8 ikaanza saa 3 usiku.”
“But the time show inaanza wakaperform Navio, Vanessa hata nazizi akaondolewa..”

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni