.

Jumamosi, 22 Oktoba 2016

Mchumba wa AKA kuhost tuzo za MTV



Mashabiki wa muziki nchini Afrika Kusini, wameponda uamuzi wa waandaji wa tuzo za MTV MAMA kwa uamuzi wao kumchukua demu wa AKA, Bonang Matheba kuhost.

Bonang Matheba
Uamuzi wa kumchukua Bonang umefanywa ghafla baada ya Trevor Noah aliyekuwa amepangwa kuhost kuahirisha katika dakika za mwisho baada ya kushauriwa na madaktari wake aipumzishe sauti yake kuepuka kupata madhara.
Kupitia account yake ya Twitter Trevor Noah alitweet ujumbe huu..
‘So sorry everyone…Please read below, far too much to tweet’.

Mashabiki wa SA wanadai kuwa Bonang amekuwa akifanya kwenye kila event kubwa na sasa wamemchoka.
Haya ni baadhi ya malalamiko hayo.
■We Not Saying Bonang Is Not Good Enough To Replace Trevor Noah On The #MAMAs We’re Just Tired Of Her — Tɦaקɛٳ Ø 🐼 (@Deepkid_ZA) October 21, 2016
■The likes of Bonang want to take up everything in the industry including being part of the Dragonball Z cast 😩😫 # OpenUpTheIndustry — Matudu Matji (@MatuduMatji) October 21, 2016
■We are tired of seeing the same old faces like Bonang #OpenUpTheIndustry , & replace a comedian with a comedian. Bonang ain’t funny #MAMAs — MabhebezaEC_69 (@MabhebezaEC__69) October 21, 2016
■Mom Dj Zinhle, dad AKA, step mom Bonang, Sister Da Les yooo Baby Kairo has a job already in the industry #OpenUpTheIndustry — Naphtally phasha (@Notlo6) October 21, 2016

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni