Baada ya mchekeshaji Stan Bakora kuirudia ngoma ya Baraka The Prince, mdundo wa ‘Nisamehe‘, Baraka ameiona video yenyewe na imeonekana hajapendezwa na ndio maana kwenye Instagram kaamua kumpa Stan Bakora onyo.
Maneno ya Baraka The Prince ‘Matani ni mazuri ila yakizidi yanaweza kuleta matatizo… heshima ichukue nafasi yake tafadhali mzee utani huu sijaupenda iwe mwanzo na mwisho tafadhali‘
Bonyeza hapa kupakua application yetu playstore
Bonyeza hapa kupakua application yetu playstore
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni