.

Alhamisi, 27 Oktoba 2016

Baada ya kuchuniana muda mrefu Wema Sepetu ampost Aunty Ezekiel

wema

Warembo Wema Sepetu na Aunt Ezekielambao kipindi cha nyuma walikua marafiki wa karibu sana na baadae wakapishana na urafiki wao ukaingia doa. Baada ya hapo tukawa hatuwaoni wawili hao pamoja kama ilivyozoeleka.
Leo 27October 2016 kupitia mtandao wake wa Instagram Wema ameamua kumpost Aunt Ezekiel akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa kwa maneno mazuri ya upendo na amekiri kuwa amekuwa akiumiss urafiki wao na bado anampenda kama mwanzo na hakuna chochote kilichobadilika kwenye mapenzi yake kwake.
Hizi ni baadhi ya picha alizopost Wema ili kumtakia Aunty Ezekiel heri ya siku ya kuzaliwa
wema
weeema

aunty
wemaaa
wemazekiel
Wewe pia Unaweza kuniachia ujumbe kwa Aunt Ezekiel katika siku yake hii ya kuzaliwa 

Bonyeza HAPA kudownload application yetu na kupata habari punde zinapotufiki.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni