
Leo September 6 2016 nimekutana na list ya TOP 10 ya mastaa wa soka wanaongoza kwa kulipwa mkwanja mrefu, list kutoka mtandao wa www.alux.com hadi kufikia August 2016 hii ndio ilikuwa list ya wanasoka wanaoongoza kwa kulipwa mkwanja mrefu.
10. James Rodriguez ($21 million zaidi ya Tsh bilioni 45)

James Rodriguez
9. Cesc Fabregas ($21 million bilioni zaidi ya Tsh bilioni 45)

Cesc Fabregas
8. Eden Hazard ($22 million zaidi ya Tsh bilioni 48)

Eden Hazard
7. Luis Suarez ($23 million zaidi ya Tsh bilioni 50)

Luis Suarez
6. Sergio Aguero ($24 million zaidi ya Tsh bilioni 52)

Sergio Aguero
5. Wayne Rooney ($26 million zaidi ya Tsh bilioni 56)

Wayne Rooney
4. Gareth Bale ($34 million zaidi ya Tsh bilioni 74)

Gareth Bale
3. Neymar Jr. ($36 million zaidi ya Tsh bilioni 78)

Neymar Jr.
2. Lionel Messi ($77 million zaidi ya Tsh bilioni 168)

Lionel Messi
1. Cristiano Ronaldo ($82 million zaidi ya Tsh bilioni 179)

Cristiano Ronaldo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni