.

Ijumaa, 2 Septemba 2016

TAZAMA TATTOO ALIYOJICHORA RIHANNA KWAAJILI YA DRAKE


Mahusiano ya Drake na Rihanna sasa yanaelekea kufikia mahala pazuri kutokana na Rihanna kuchoratattoo kwa ajili ya Drake.
Kupitia Mtandao wa Tmz umeripoti kwambaRihanna amejichora tattoo ya samaki aina ya Papa ambayo ni kama ishara ya upendo kwa Drake baada ya Mnyamwezi Drake kumpeleka Rihanna kwenye Kweramu moja hivi la kuhifadhi samaki hukoToronto.
Toronto Rapper, Drake naye ameshamfanyia mengi makubwa Rihanna kwa kumpongeza kupata tuzo ya Video Vanguard Award at this year’s MTV Video Music Awards kupitia mabango ya town kila kona, moja ya jambo ambalo pia liliwafurahisha watu ni pale Drizzy alipompa busu Rihanna.
Tazama Tattoo ya Rihanna ambayo ni kwa ajili ya Drake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni