.

Ijumaa, 16 Septemba 2016

Kanye West aelezea sababu ya kutokua na simu ya mkononi


Hii ni mara ya pili rapa Kanye West anaacha kutumia simu za mkononi kwenye maisha yake akiwa na sababu tofauti kama usumbufu na kutaka muda wake mwenyewe.
This Time jamaa kaja na issue tofauti kabisa, Eti anasema ameacha kutumia simu za mkononi ili aongeze zaidi UBUNIFU kwenye kazi zake.
Kanye aliandika Twitter ” I got rid of my phone so I can have air to create”

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni