.

Alhamisi, 8 Septemba 2016

Designer aokoa maisha ya Panda


Desiigner ameamua kuonyesha mashabiki wake sio kutumia jina la “Panda” ndio mwisho, Goodnewz ni kwamba Desiigner ameamua kujitolea kusaidia maisha ya wanayama “Panda”
Shirikia la  World Wildlife Fund limeamua kutumia kurasa yao ya twitter kuandika kuwa wanyama aina ya Panda hawapo tena katika list ya wanyama ambao wapo hatarini kuuawa na majangili, na kuwapongeza G.O.O.D Music kupitia ngoma yao ya Panda iliyoimbwa na Desiigner  kuwafanya wanyama hao kutokuwepo katika mazingira magumu kutokana na kupendwa na ngoma hiyo.
World Wildlife Fund limeshatumia logo ya Panda zaidi ya miaka 50 bila kufanikiwa lakini Desiigner amekuja kubadilisha na kufanya wanyama hao kutokuwepo tena katika Mazingira magumu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni