.

Jumamosi, 6 Agosti 2016

Salam za Wema Sepetu kwa mtoto wa Diamond Platnumz 'Tiffah'


August 6, 2016 ni siku ambayo anazaliwa mtoto wa staa wa kutokea  bongo flevaDiamond Platnumz ambapo pamoja na watu wengi kumtakia kila la kheri  yupo pia mrembo Wema Sepetu ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mtoto wa  Diamond akayaandika haya>>>Happy Birthday Princess Tee…🎈🎉🎁🎊🎀💝 May Allah bless your precious lil self… You will definitely turn out to be a phenomenal young woman’– Wema Sepetu
DEYHUU7
Miongoni waliotuma salam hizo pia ni Ex wa Zari aitwae Ivan ambae kupitia akaunti yake ya instagram alipost ya mtoto wa Diamond Platnumz na kuyaandika haya>>>>Big shoutout to this innocent beautiful soul. May you live to blow more candles to come’- Ivan
DEF4566

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni