.

Ijumaa, 12 Agosti 2016

HII NDIO PLAYLIST YA BARACK OBAMA, NGOMA PENDWA


Hivi unafahamu kwamba Raisi wa Marekani anaplaylist ya ngoma za hiphop anazosikiliza mchana na usiku.
Raisi wa Marekani Barack Obama alitumia kurasa yake ya Twitter kushare playlist za ngoma zake anazozisikiliza, na miongoni mwa ngoma hizo ni za wasanii wakubwa wa Hip Hop kama NasCommon,Wale na wengine kibao. Alafu kizuri zaidi Mr Barack Obama amezigawa playlist zake kwa sehemu mbili ambayo ni Daytime na Nighttime.


Wasanii ambao ngoma zao zilionekana katika playlist hiyo ya Barack Obama walitumia kurasa zao za twitter kumpongeza Raisi wao kwa kusapotmuziki wa HipHop.
NAS


COMMON


JIDENNA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni