.

Jumatatu, 11 Julai 2016

Post ya mama yake Diamond Platnumz kuhusu Wema Sepetu

Mtu wangu najua mitandao ya kijamii ina nguvu sana siku hizi, jumapili ya July 10 2016 mama mzazi wa msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz amempostWema Sepetu ambaye alikuwa ni girlfriend wa zamani wa Diamond Platnumz.
gfiii
Picha aliyopost mama Diamond
kendrah_michaelUzalendo kwanza..umependeza sanaa mamy akee
Najua ni kipindi kirefu kimepita toka tokaDiamond Platnumz na Wema waachane, tokaDiamond na Wema waachane ni kipindi kirefu kimepita na watanzania hawakuona upande wa Diamond wakimzungumzia Wema, lakini sasa hivi imekuwa sio ishu tena kwa Wemakumpost mama Diamond na yeye kupostiwa na mama Diamond.
gffff
Picha aliyopost Romy Jons
Baada ya mama Diamond kupost alifuatiaRomy Jons ambaye ni kaka yake na Diamond Platnumz, hiyo inaonesha kuwa upande waDiamond Platnumz na Wema Sepetu hakuna tatizo kama ambavyo baadhi ya watu walikuwa wanaweza kuhisi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni