.

Jumapili, 17 Julai 2016

Pichaz za Usiku wa utoaji wa tuzo za ZIFF kilivyohappen Zanzibar..


Usiku wa July 16 ulikua maalum kwa ajili ya utoaji wa tuzo mbalimbali kwenye upande wa filamu na tuzo hizi zilihusu vipengele mbalimbali vikiwemo kumtambua Muigizaji bora wa kike upande wa Bongo Movie,Muigizaji bora wa kiume,Filamu bora,video bora ya muziki kutoka Afrika Mashariki na zingine nyingi.
.
Amil Shivj mshindi wa tuzo ya Mtayarishaji bora kupitia filamu ya Aisha
.
Gabo mshindi wa Muigizaji bora kiume akipokea tuzo yake.
.
Salum Stika ameshinda tuzo ya muongozaji bora kupitia filamu ya Daladala.
.
Sehemu ya burudani kwa watazamaji.
Baada ya utoaji wa tuzo kukamilika zilifuata perfoamnce mbalimbali na hii iliwahusu zaidi wasanii wa Hip Hop ambapo alikuwepo Young Killer,Stamina,Juma Nature,Fid Q na upande wa Rnb alikuwepo Ben Pol.
1
Ninazo picha mtu wangu wakati washindi wakienda kuchukua tuzo pamoja na perfomance ya wasanii juu ya jukwaa la ZIFF.

2

3

4

5
9

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni