.

Alhamisi, 2 Juni 2016

Picha ya mtoto wa Blac Chyna na Rob Kardashian imefikia thamani ya dola milioni 10, wapata dili la Reality show yao

Mtoto Blac Chyna na Rob Kardashian ambaye bado hata hajazaliwa tayari ameshaanza kutengeneza mkwanja, Wazazi wake wamepewa ofa ya dola milioni 10 kuionesha picha yake kwa mara ya kwanza, thamani inazidi kupanda.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily News, thamani ya picha hiyo inazidi kupada kila siku, limesema imeshaizidi thamani ya picha ya mtoto wa Jennifer Lopez na Marc Antony ambao walilipwa kiasi cha dola milioni sita kwa ajili ya picha za watoto wao mapacha [Max & Emme au Brand Pitt].

Pia katika hatua nyingine wapenzi hao wamepata dili la Realiy Tv Show yao itakayokuwa inaoneshwa E!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni