.

Jumanne, 31 Mei 2016

Wiz Khalifa kutokea kwenye show ya ex-wife wake, Amber rose


 

Wiz Khalifa na Amber rose ni mfano mzuri wa kuwa kuachana sio kugombana, Wanandoa hao wa zamani wanaendelea kupeana support kwenye mishe zao.
Mwanamitindo maarufu, Amber rose amedai kuwa atakuwa na furaha kubwa kumkaribisha mume wake wa zamani katika kipindi chake cha ‘Amber Talk Show’ kwa ajili ya kuelezea maisha yake.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Wiz Khalifa alisema ataenda kupita tu, hatokuwa na muda wa kupoteza, lakini anashukuru sana kwa kupewa nafasi hiyo kuwa mgeni rasmi kwenye show hiyo.
Wawili hao wanamtoto mmoja wa kiume, Sebastian (3).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni