Idadi ya wamarekani wanaoukataa uraia wa nchi hiyo inaendelea kuongezeka kwa kasi.
Kura za maoni zinaonesha kuwa Mmarekani mmoja kati ya wanne anadai ataondoka nchini humo iwapo Donald Trump atachaguliwa kuwa rais.
Wengine wanasema wataondoka kama Hillary Clinton atachaguliwa. Utafiti umeonesha kuwa asilimia ya watu wanaoukataa uraia wa Marekani imefikia 560%.
Ni sawa na mara 18 zaidi ukilinganisha na mwaka 2008. Sababu za kuukataa uraia zinaweza kuwa ni pamoja na familia, kodi au matatizo ya kisheria.
Jumapili, 8 Mei 2016
Home
/
Unlabelled
/
Raia 1 kati ya wanne wa Marekani ataondoka Marekani iwapo Donald Trump atakuwa Rais – Maoni
Raia 1 kati ya wanne wa Marekani ataondoka Marekani iwapo Donald Trump atakuwa Rais – Maoni
About Unknown
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni